Recent content by Nchiyaahadi

  1. N

    Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

    Ok vizuri na hongera sana,,,umepanda/unapenda mkoa gan na matokeo yapoje??na vip minimum no ya Miche unayoweza kuagiza ktk kwao?means ya usafiri ?gharama ya usafiri roughly,, natanguliza shkran[emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Hongera sana mkuu,,umepanda Miche mingapi (wambugu apples),,,na ulitumia process gan kupata hizi wambugu apple seedlings (ulifuataa direct Kenya or uliagiza)?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Ok hongera sana mkuu,,usisite kutuja matokeo ya mwisho ya uzalishaji ,, Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Kwema,mkuu naomba mawasiliano Yako pm kama hutojal,,
Back
Top Bottom