nimeandika hapa kwasababu moja tu kiongozi yeyote wa chadema alipo aelewe kwani hawa hawatusikilizi ni miungu watu, wametoka na tabia walizokua nazo ccm wameamishia cdm
NANI anaongelea uchaguzi wa kata hapa???????????????????? tunaongelea mgogoro uliopo katika kata nilizozitaja, kwanini mnaficha mimi sio mwehu mgogoro wa IRINGO ulianza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa, jiulize kwa nini muda wote huo sijauwezka hapa jamvini hadi jana nilipoamua kuuleta...
Nashukuru kwa uelewa mpana wa jambo hili unajua ninachokisema nakumaanisha katika siasa za musoma kuna tatizo lakini nashangaa viongozi nao wanajibu haya mambo kwa kufunika kombe alienishangaza ni huyu MAGAMBO mpaka nimekata tamaa hata yeye anaweza kujibu kwa namna hii???????????????????????//...
FATILIA MICHANGO YANGU KWANZA NDIO UBWABWAJE, fatilia taarifa MUSOMA ili ujiridhishe kama uamini, Pia ulizia YALIYOMKUTA SALUM MWALIMU UKUMBI WA MCC alafu utanielewa
UBARIKIWE.
KAZI HUFANYWA IVYO UNAPOKEA KWANZA ALAFU NDO UNATOA MAJIBU,
huwa napenda watu wanaopokea madai yoyote yale na kuyafanyia kazi kwanza kabla ya kuanza kutoa majibu
mkuu ubarikiwe viongozi wetu wa wilaya kuna tatizo kubwa la upatikanaji wa kpt sasa lazima watu wawe makini ninachokisema kinatafuna chama hapa musoma kwa sasa watu hawawezi kunielewa ila madhara yanayokuja ni makubwa na yatahuzunisha wengi
HUU mgogoro ni wa muda mrefu viongozi hawa wasikii la mtu ukisikia wa TAIFA wanaitwa ujue tatizo limeshindikana kumbukeni muda ni mfupi sana kufika uchaguzi ukiendelea mgogoro huu unakiumiza chama, haya nayowaeleza hao viongozi wa TAIFA wanayajua
POOR YOU, hata kufikiria tu hutaki unapewa taarifa umeshatoa jibu bila hata kuuliza wadau wenzio, ungekuwa na busara ungewatafuta waliopo kwenye kata nilizozitaja kujua je haya yanayosemwa yapo badala yake umetoa jibu wakati yanayosemwa yanakiumiza chama
POOR YOU, hata kufikiria tu hutaki unapewa taarifa umeshatoa jibu bila hata kuuliza wadau wenzio, ungekuwa na busara ungewatafuta waliopo kwenye kata nilizozitaja kujua je haya yanayosemwa yapo badala yake umetoa jibu wakati yanayosemwa yanakiumiza chama
HAYA nayokueleza yametokea leo hii ofisi za wilaya wewe uliyemwanachama wa CDM je ulifika kwenye ukumbi kukichangia chama chako?????????????????? mimi unayesema NILICHANGIA 50,000 UKUMBINI
Unasema usilolijua juzi kulikua na CHAGIZO KWA AJILI YA MKOA WA MARA NA MGENI RASMI ALIKUWA SALUM MWALIMU naibu katibu mkuu yaliyotokea yalikuwa ni aibu kubwa kwani ilikuwa inasimamiwa na kanda ambayo ilishindwa hata kugawa kadi kwa wageni ambao walikuwa ni waalikwa, SALUMU ALIYASEMA HAYA NDANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.