Recent content by Nchi Nzima

  1. Nchi Nzima

    JamiiForums TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Hawashindwi hawa kuja na majumbani mwetu wenye store kuanza kututoza kodi.
  2. Nchi Nzima

    JamiiForums TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Bila kuwasahau boda bodA
  3. Nchi Nzima

    JamiiForums TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Kamishna mkuu tra anatakiwa kutumbuliwa maana akili yake imefika mwisho
  4. Nchi Nzima

    JamiiForums Ufahamu ugonjwa wa Monkey pox

    HISTORIA: CHIMBUKO LA MONKEY POX - SEHEMU YA KWANZA Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa monkey pox kwa mara ya kwanza viligundulika mnamo mwaka 1958 katika jiji la Copenhagen nchini Denmark baada kutokea mlipuko ujulikanao kitaalam kama "versicular disease" baina ya ngedele waliokuwa wakifugwa...
Back
Top Bottom