Recent content by nccr

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 NCCR Mageuzi kutoa fomu za Udiwani, Ubunge mnamo Julai 1, 2025, mwisho wa kurejesha ni Julai 22, 2025

    Tangazo Kwa Wanachama na kwa Umma Chukua taarifa hii kwamba, fomu za kuomba kugombea Udiwani, Uwakilishi na Ubunge kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 01 Julai, 2025 na mwisho wa kurejesha ni tarehe 22 Julai, 2025. Fomu zitapatikana katika ofisi za chama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NCCR-Mageuzi kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu 2025

    NCCR-Mageuzi MKUTANO NA WANAHABARI TAREHE 14 MEI 2025, JIJINI DAR ES SALAAM Ndugu zetu Wanahabari; Tunawashukuru kwa kufika. Tumewaalika hapa ilituweze kuwafikia watanzania wenzetu kuhusu utaratibu wetu na msimamo wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, ambapo kampeni zake zitaanza mwezi Agosti...
Back
Top Bottom