Recent content by nbny_Tz

  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Akili na kumbukumbu

    Kuna msemo fulani watu wanautua, "Sisi ndiyo wale tunaosaidiwa na Mungu" ila Mungu hutumia watu kusaidia watu!! Basi nawaomba mniunge mkono kwa maooni na kura kwenye hili "AKILI na KUMBUKUMBU"
  2. N

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kupandisha bei za mafuta ili akili zitukae sawa

    Na bado!!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Akili na kumbukumbu

    Napenda kutumia fursa hii na jukwaa hili kuwakaribisha wana JF kusoma andiko langu na kulichambua kwa kutoa maoni, ushauri na kuniunga mkono, ahsante.
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Akili na kumbukumbu

    Kumbuka ili uweze kufanikiwa katika mambo yote kwenye maisha yako, yaani; Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa, Kiutamaduni, Kiteknolojia, Kiafya, Kidini na Kielimu kwa namna yoyote ile lazima uwe na KUMBUKUMBU na AKILI timamu. Mtu asiye na akili timamu wala kumbukumbu ni mfu anayeishi, hawezi kuona...
Back
Top Bottom