Recent content by natumbaku Chambeho

  1. N

    Jumanne ya 01/09/2015, siku ambayo Ufunguo wa Uhuru Mtandaoni unapotelea baharini!

    Oooh! Niliaga lakini nimesahau kitu, hivi hawa vistors wa account ya mtu vipi?, kama vistor akiwa mtuhumiwa wa matumizi mabaya ya mtandao si anaweza kukuletea zahama? Vistors wote nimepiga marufuku sitaki mnitembelee mkome kabisa. Account yangu muione kama kituo cha polisi, sawa.
  2. N

    Maxence Melo: Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao, Wengi wameanza kujitoa kwenye Magroup

    Asante Amavumbi mimi niliona hilo tangu awali, ndio maana niliamua na niliona ni vema na inapendeza kutumia jina langu halisi, Kwa mara nyingine tena kwaherini wadau, tulikupenda jF lakini cyber crime imekupenda zaidi.
  3. N

    Maxence Melo: Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao, Wengi wameanza kujitoa kwenye Magroup

    Ndugu wanajF wenzangu na chuka fursa hii kukuageni rasmi. Kwani kwa binafsi yangu nimeaamua kuabstain kuchangia hapa jF. Kwa wale nilio wa kwaza kwa michango yangu nakuombeni wote msamaha, kulikuwa hakuna namnaa nyingine zaidi ya kutoa maoni. Kwa walio ni kwaza nilisha wasamehe tangia...
  4. N

    Maxence Melo: Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao, Wengi wameanza kujitoa kwenye Magroup

    Wadau na uliza? Je ukipandishwa kizimbani kwa hii sheria watatumia majina bandia ya mtandaoni au majina halisi?
  5. N

    Jumanne ya 01/09/2015, siku ambayo Ufunguo wa Uhuru Mtandaoni unapotelea baharini!

    Kuanza utekelezaji wa hii sheria kuna takiwa kuahirishwe kwani si haki na si fair kwa sheria ya muungano kuanza kutekelezwa upande mmoja wa muungano. Zanzibar haitanza kutekelezwa mpaka ikubaliwe/iridhiwe na baraza la wa wakilishi. Wengine inabidi tuage hapa jF rasmi kutoa na kuchangia maoni...
  6. N

    Ombi kwa Serekali Yetu ,Tafadhali

    Ni kuhusu sheria ya makosa ya kimtandao, ingekuwa jambo la maana ikasogezwa mbele kuanza kutumika. Kwa nini na sema hivi? unahitajika muda watu waeleweshe waielewe vizuri hii sheria, maana sheria ni taaluma, muda uliotolewa hautoshi. Ni sheria ya muungano, Zanzibar wanahitaji kuridhia...
  7. N

    Camera za Azam-Tv kwenye mikutano ya kampeni

    Kumbe ni drone camera na niza azam tv!!!, tapeli moja la kisiasa lilisha wa aminisha waTz kuwa niza kiukawaukawa.
  8. N

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Huko ni kupoteza wakati apimwe kwanza utimamu wa akili zake. Utimamamu wa kiwiliwili tayari umejibainisha kwa yeye kutafuta sababu za kutosimama muda mrefu. Mara ooh mimi mrefu sana, ooh askari wa dsm watapata sababu ya kunishughulikia nk. Mtu hatari hapa ni Mbowe, anasema kabla ya kufanya...
  9. N

    Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

    Hujui! utajua 25 oktoba muulize EL kilicho mleta chadema, atakuambia. Mmepoteza uhalali wenu kwa wanaojitambua.
  10. N

    Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

    Hata haya hamna eti sadaka ya mabadiliko, kwani mko kanisani? zile fedha zote mlizokuwa mnakusanya kwenye fund rising mlizofanya huko nyuma mlishaeleza mlizitumia vipi? Matapeli wa kisiasa wakubwa nyie. Na nchi hii hamuipati ng'oo! Mtampata huyo huyo EL ambaye sina hakika kama yuko mental stable.
  11. N

    Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

    Muda si mrefu atajiunga na Slaa na chadema masalia wenzake. Kashauza chama ila hajitambui anadhani ataweza kumshape EL na watu wake aliokuja nao, anajidanganya sana. Jana bila aibu anafikiria jinsi ya kukusanya sadaka ya mabadiliko pale jangwani. Sikujua jamaa hovyooo! sana.
  12. N

    Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

    Muda si mrefu atajiunga na Slaa na chadema masalia wenzake. Kashauza uza chama ila hajitambui anadhani ataweza kumshape EL na watu wake aliokuja nao, anajidanganya sana. Jana bila aibu anafikiria jinsi ya kukusanya sadaka ya mabadiliko pale jangwani. Sikujua jamaa hovyooo! sana.
  13. N

    Naiomba serikali siku yakumuapisha Dr Magufuli iwe mapumziko

    Mgombea ni tapeli la kisiasa ile mbaya, jana kasingizia kuwa akihutubia akiwa amesimama yeye mrefu anaowahutubia hawatamuona. Leo kahutubia dakika hata saba hazikwisha sababu aliyotoa, eti mapolisi wa dar es salaan hawampendi watamletea matatizo akihutubia muda mrefu. Tuna jiuliza nini...
  14. N

    Naiomba serikali siku yakumuapisha Dr Magufuli iwe mapumziko

    Inabidi ifanyike kazi ya ziada kuzuia hawa matapeli wa kisiasa waliyoiteka ukawa juzi kati hapa wasishike dola. Kama Mbowe na matapeli hawa haitawezekana kuwazui tuandike maumivu makuu. Slaa anaweza kutueleza ni jinsi gani waweza jeruhiwa nafsini na watu hawa waliojawa na tamaa ya kupata...
  15. N

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Nasikia wanachadema masalia wameambiwa waanze kutoa hotuba leo usiku, na ndio wanaendelea kuhutubia hapo. Maana kesho walionunua chama ndio watakuwa na haki ya kuhutubia. Usiku huu Heche and the like ndio wanahutubia. Kesho zamu ya kina Mgeja wamiliki wapia wa chama.
Back
Top Bottom