Recent content by Natena wiza

  1. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Huyu Omari Omari ni mtoto wa nani hapo Simba Sc.?
  2. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Swala la umeme kwenye mechi ya mtani wa jadi, ni sawa la kusubiria kupatwa kwa jua.
  3. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Kila game ina approach yake.
  4. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Fukara unamshauri tajiri juu ya swala la ulinzi? Haya ni maajabu[emoji23]
  5. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Huyu Balua kumbe huwa habahatishi swala la freekicks, jamaa anajua kukadiria.
  6. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Hizi ndio fullback sasa, naam ni Kelvin Kijili. Yule mzee huwa anatuchelewesha sana upande wa kulia.
  7. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Hata kama kuna ubovu ila hatujafika huko, labda kwa Orlando hapo.
  8. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Okajepha ni mali pale kati.
  9. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Sasa kama hawa APR waliweza kuitungua goli tatu ile team inayodhaniwa kuwa bora, kwanini tusifurahie hata hilo la kubahatisha.?
  10. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Msije mmejipa ushindi wa moja kwa moja siku hiyo, huu ni mpira sio draft.
  11. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Wewe kacheze rede tu au jifungie jikoni ukune nazi kwenye kibao-mbuzi, goli la kimemo linakuwaga vile.? [emoji23][emoji23]
  12. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Hii ndio namba 17 mpya mjini, achana na ile nyingine iliyoondoka inachechemea kama tipa linabinua mchanga.
  13. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Kabla hujaandika hivi, una Visa au ndo hata nchi jirani hapo hujawahi kufika.?
  14. N

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Ngoma ndo alikuwa mzigo kwenye midfield, Mzamiru kacheza vizuri sana.
Back
Top Bottom