Recent content by Nassor Mohamed

  1. N

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Endelea kujidanganya tu ivo ivo, Hutaamini
  2. N

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Kwakweli upo sahihi, inshort Babu Seif akalee wajukuu tu ss, He is outdated
  3. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Ukiona hvo ujue watu wameona mnavofanganywa na wapinzani nanyi mnakubali
  4. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Njoo na hoja zlizo waz, huko kuckia ckia kla mtu anasema lake. Mm mwenyewe nmeskia eti lissu mtoto cio rizki 😄😄
  5. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Mnyonge ckuhizi hanyongwi, anapewa haki yake anaenda zake. Lazma tumsifu JPM kwa yale aliyoyafanya
  6. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Ww ungekua mtumishi usengesema hvo pia
  7. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Mambo gan hayo, c uyaseme! Mbona makala imeelezea mambo yote kwa usahihi kbsa!
  8. N

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Hakika wapinzani hawana hoja hao wanabwabwaja tu
  9. N

    GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Hlo swala la kuwa kapgwa risasi kisa ni mbunge wa upinzani hyo ni nadharia tu, kuna wabunge wangapi wa upinzani nchi hii mbona hawajapgwa risasi! Half watu walivokua hawatafakari, ivi mtu akipigwa risasi tu inabd apewe uraisi?
Back
Top Bottom