TANZANIA YA MAONO: WAZO MOJA, KWA KIZAZI KIPYA CHA MATUMAINI
Na: Abraham Belal
Taifa hubadilika si kwa majengo tu, bali kwa fikra zenye maadili, uzalendo na maono yanayowashika wote kutoka kwa kijana wa kijijini hadi Rais wa Jamhuri. Kwa heshima kubwa, naandika ujumbe huu kama kijana wa...
Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan,
Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo.
Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.