Habar samah naomba kupata ufafanuz wahii ndoto niliota tupo darasan mara ghafra akaingia mwanafunz mwenzetu Na gunia kalibeba mara ghafra akatoa nyoka wawili weusi mkubwa Na mdogo Ila ktk kuwatoa hao nyoka alikuwa anamlenga mtu mwingine Ila ghafra wale nyoka wakaanza kunifata mimi ktk kuwakwepa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.