Recent content by nashy1985

  1. N

    Mbona kada ya Computer System Analyst hawajaitwa kazini

    Hata transportation officer ofisi ya AG pia hawajaita japokua baadhi ya waliofanya interview wamepangiwa halmashauri
  2. N

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    kwenye nafasi za HR walitaka watu wa sociology, Sociology. PA, na HRM japo kwa afisa tawala ndio walitaka watu wa law pia na zilikua nafasi 6. Sasa hao waliokimbia ni waliopata post ipi?
  3. N

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    No, me sizungumzii mahakimu, nasemea hizo post za HR
  4. N

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Hawa jamaa wamefanya siri sana ilihali walisema watatangaza kwenye gazeti. Kuna mtu nilimskia anasema november
  5. N

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Kwani walioitwa kwenye interview wameajiriwa tayari?
Back
Top Bottom