Habari wapendwa,
Naomba mwenye connection za migodini kama usafi, office attendant na nyingine kama hizo au mahali pengine popote kama kwenye miradi mbalimbali mimi nitafika. Mimi nina uzoefu na mambo ya hoteli ila nitafurahi kama nitapata kitu cha tofauti maana umri sasa.
Asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.