Recent content by Nas255

  1. N

    Looking for a HIV+ Muslim man

    Swala sio kutisha ila ni elimu ya kutosha haipo kwenye jamii na unyanyapaa ni mwingi kuliko wew unavodhan ndo maana ts better kuwa na mtu ambae mpo upande mmoja
  2. N

    Looking for a HIV+ Muslim man

    [emoji1488] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Looking for a HIV+ Muslim man

    Iman na status ni vitu sensitive sana!! Ni vema mkiwa mko kwenye boat moja Mnaelewa kitu kimoja Mnajua how it feels to be positive, you suport and hold each other hands in hard and good times Ulimwengu umejaa unyanyapaa kias kwanba u have no gurantee that someone will take your status to...
  4. N

    Looking for a HIV+ Muslim man

    Alhamdulillah, hii hali imekua ni reminder kwangu, namshukuru Allah kwa kadar zake na akanipatia hili kuwa ni mtihan wangu, na hakika kwa uwezo wake atanipatia uwepes, Amin Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Looking for a HIV+ Muslim man

    Hi Jamii forum family,Ts my second time here. I'm 30 years of age Tanzanian with hiv+ on medication , I'm looking for a gud man ,he just have to be smart with a very gud sense of humour ,age between 35 and above ,he has to be muslim (important) on medication or not , no smoking or drinking , Im...
  6. N

    Natafuta patner ambaye ni HIV+

    Hahahaa umenifanya nimecheka
  7. N

    Natafuta patner ambaye ni HIV+

    Habar za muda huu wanajamii. Mim ni mdada wa miaka 29, Muislamu ninaishi na HIV+ na nimejikubali kwa hiyo sio jambo ambalo linalonisumbua. I am physically fit Alhamdulillah, Changamoto kubwa ni kupata patner ambae tunaweza kuwa pamoja kwenye mahusiano ni tukijaliwa ndoa In sha Allah. Awe na...
Back
Top Bottom