Recent content by narogo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Umemsikiliza kwa umakini mkubwa sana that's why ukaona huo upotoshaji
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Mko vizr kumsikiliza Samia na kuripoti kila tukio lake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwanri kumuacha Mungu na kujiunga na Shetani jiandae kudhalilika

    Wachamungu wako CHADEMA
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wote mliofurahia kifo cha hayati JPM leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Mpo humu jukwaani na mnaona aibu

    Pamoja na ukweli kwamba una machungu ya kufiwa na lile shetani lenu la Chato, lkn jitahidi uwe na subra. Wewe sio wa kwanza kuachwa Mjane. Kwa mitusi hiyo very possible kuwa ushapitia CHADEMA
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wote mliofurahia kifo cha hayati JPM leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Mpo humu jukwaani na mnaona aibu

    Hujui wewe. Ngosha amekufa akiacha makumi ya waislam wako mahabusu kwa kesi za ugaidi. Samia kazifuta baadhi tu lakini bado mpaka leo kuna Mashekh magerezani waliowekwa ndani na Magufuli. Wadogo zangu wawili waliachiwa mwaka 2023 kutoka Gereza za Ruanda walikokaa kwa miaka mitatu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wote mliofurahia kifo cha hayati JPM leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Mpo humu jukwaani na mnaona aibu

    Bora tu Mungu alivyolitwaa lile Shetani lenu la Chato. Kama bado mwalipenda basi lifuateni huko huko Chato
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nyerere kakaa Ikulu miaka 23 haya mambo hayakuwepo

    Hata TV enzi za Nyerere hazikuwepo. Hata Umeme mikoani enzi za Nyerere haukuwepo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Afadhali mmepewa agenda sasa mtupumzishe kwenye mengine
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Mna siasa za kitoto sana. Mpk mnatia mashaka juu ya umri wenu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Wana utoto sana hawa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naona mwili nao umeanza kumkataa. Watanzania wamebakia na kete moja tu.....

    Kama uongo kanusha. Hivi kuna jambo Samia ataongea au kulifanya CDM msiwe wa kwanza kuripoti humu?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naona mwili nao umeanza kumkataa. Watanzania wamebakia na kete moja tu.....

    Uzuri ni kwamba CHADEMA mnamfatilia Samia kwa kila hatua yake na kila asemalo kuliko hata CCM wenyewe. Binafsi taarifa za Samia huzipata kupitia CHADEMA
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia

    Wagome tu chuo kifungwe.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naona mwili nao umeanza kumkataa. Watanzania wamebakia na kete moja tu.....

    Kwa huku jf wewe watafuta kuoga mvua ya matusi tu. SUBIRI
  15. N

    JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    Kiki za kitoto sn hz
Back
Top Bottom