Recent content by napoteza

  1. N

    JamiiForums Tanzania 3M-3.5M gari inahitajika

    Ipo starlet namba A m 3.5
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Issue si lowassa kwenda ikulu, kwani huyo aliyepelekwa kashinda kwa haki? Mbona mnaguna mambo yakitaka kuwekwa wazi, tutulie tuone kama kaonewa au anadanganya, kwani shida iko wapi? We endelea na maisha yako but mwisho wa siku tujue ukweli
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Naomba nikujibu kuwa uko sawa in a way but si vitamin B17 pekee unayo hitaji! Kuna matumizi ya warm lemon water and a lot of other things kama blackstrap molases, wheat grass juice na kadhalika ili kutibu cancer but so far uko sawa kiasi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Apple cider vinagar, inauzwa wapi?

    Supermarket ila isome vizuri isiwe na nembo za gmo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Timu Lowassa wana wasiwasi na maamuzi ya Kamati Kuu?

    Bado hata humo team Lowassa kunaweza kuwa na waliotumwa wapo ili kumvurugia whatever comes from the horse mouth ndo cha kukishikia bango maana wapo wanaotumiwa na wapinzani wakijiita team Lowassa ili kumchafua
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Timu Lowassa wana wasiwasi na maamuzi ya Kamati Kuu?

    Unajua wewe mwandishi u tuweke ushahidi wa hizo kauli maana umekaa km nyinyi team utajiju ndo mna wasiwasi sasa mnafanya juhudi za kumchafua
  7. N

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu atuhumiwa kufisadi Tsh. 95ml

    Hahahahahahah Watu wana panic kosa likowapi mtu kutaja Raisi wake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Yaani umeona eeh? Pamoja na ku mwambia Red Giant kuwa waliotumia chemo pekee walikufa na huyu aliye tumia chemo na majani ndo yuko vizuri haoni hata u tofauti mi nasema kweli tungejua mapema hata chemo asingepewa mgonjwa wetu maana nyie madoctor hata kumweleza mgonjwa how seriously affected...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Mimi siwezi kusema nina utaalamu but I believe in food science coz I have seen it work, nafanyia kazi ya kuh hiv and will report back
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    @Rg forever labda nikupe mlolongo wa namna mama alifanya ni kuwa hiyo saa 11 asubuhi alikuwa anampa blackstrapmolases iliyochanganywa na bicarbonate of soda then after 1hr anampa warm lemon water and then after half an hour anampa juice yenye mchanganyiko wa wheat grass, stafeli, beetroot...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Unajua mm najiuliza sana hawa madaktari siku hizi tiba chakula hawataki kabisa au hawakufundishwa? gorgeousmimi labda nashindwa kuelewa au la syllabus zimebadilika sana au ni sisi tu natumia tiba ambazo ziko outdated nashindwa kujua ila ni kweli vyakula haiponyeshi Dr? Maana mm nakumbuka hata...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Probs ya Dr's mmeamua ku ignore kabisa food science ilhali Mnaelewa kuw there is some truth in them sasa hizo medical deadly ndio what put you thru skull na ndo maana mkiugua nyie ni dawa za pain killers lakini ma pharmacist wajanja hata watt wao wanawatibu by natural foods
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Laiti mngelijua☺☺☺ yakiwafika mtatafuta hizi thread
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Mkuu Deception after this one diabetes and asthma pls
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hidden cancer cures

    Duh kazi ya predinisolone ni kunyong'onyeza kinga za mwili? Ooo tate nane? My dad and son wana asthma na ndo dawa yao😣😣😣 sasa why kunyong'onyezwa😧😧😧 mwe nna kazi sana ila tutapambana kibishi tu
Back
Top Bottom