Recent content by Naomi Gachanja

  1. Naomi Gachanja

    Biografia ya mazishi ya hongo

    HONGO. “Maneno ya kueleza jinsi ulivyokuwa sina. Tunakufahamu kama mwelekezi wa mkoa wetu. maendeleo mengi ya watu teule tumeyaona kupitia kwako. Ulikuwa na bidii za mchwa katika kuwafanya wabunge watetee haki za “wanyonge”. Pale bungeni, wabunge walikuwa katika mstari wa kwaza kuweka mezani...
  2. Naomi Gachanja

    Kwanini mzazi alaumiwe katika ukuzaji wa vipaji vya watoto?

    Haya yaliyonenwa hapa ni ukweli mtupu. wazazi wanapaswa kulipatia jambo hili kipaumbele.
Back
Top Bottom