NGURUMO NDANI YA MSITU MNENE
“Mgeni aje mwenyeji apone”,,, usemi huu maarufu uliotumiwa na kuturithisha kwa miaka mingi hakika tumekua na tumeishi nao. Mgeni alietujia ni mgeni aliyejaa vitendawili visivyotegulika, ni mgeni asiejulikana wapi katoka na wapi anaelekea na kubadilisha maana nzima...