Recent content by nandi wa dubai

  1. N

    JamiiForums Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Njoo pm nikwambie jins ya kujua upendo wa kweli
  2. N

    JamiiForums Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Tatizo vijana wengi wanasubir wapate mali nyingi ndo waoe. Cha kushangaza sasa hawajui kama mke aliyenae amempenda yeye au mali zake. Wanakujua kugundua mwishoni kabisa baada ya kupitia magumu flani. Usiwaambie wafu wasioe kwasababbu unakosea na unahamasisha watu wazini.. bali washaur watu...
  3. N

    JamiiForums Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

    Mimi sitaki kutoa mimba.. mimi nataka kushika mimba. Au hujui kusoma
  4. N

    JamiiForums Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

    Sasa kama unanisaidia nisaidie kama unataka kunihukumu pita kushoto
  5. N

    JamiiForums Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

    Asante.. ila kuvumilia ndo nashindwa jmn. Nataman kupakata
Back
Top Bottom