Recent content by nancy mengo

  1. N

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Olesaidimu kiuongoz wakat mwingine ukibase na history zaid utapotoka. kwan wapo wanaofanya vtu vdogo ili waonekane kisha wakipata nafasi ndo kwa heri. Kumbuka mwalimu hakuwa na historia na aliingia kama kijana na akafanya wonders ambazo mbuz wengi wa leo wamegeuza mashamba ya kujitajirishia. By...
  2. N

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    wanajamvi tusijisahau kuwa amekuwa kiongoz wa kisiasa huu mwaka wa nne. So tusichambue mafanikio yake tukaona madogo kwa kulinganisha na waliokaa miaka 30
  3. N

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    The fact is not about helping the forum, it is about presenting facts about candidates sharing them up, airing their strength and weaknesses so that when time comes we can be in position to make right decision for our country's betterment. When we discuss about him let' s not treat him like...
  4. N

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    kitu kizuri anatambua nafasi za kisiasa like urais sio ajira binafsi so ni somo kwa wanasiasa wanaojipanga kufa na kupona wapate. Inatakiwa wanasiasa wanapogombea wajipange kisaikolojia kushinda na kushindwa
  5. N

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    Hapo naona kama kuna misunderstanding hv. Kuna tofaut kati ya experience ya kuongoza na experience inayomanisha ufahamu katika mambo. Nijuavyo mm ana experience na shida za watz cuz na yy amezexperience
  6. N

    Lowasa ajiandae kufungishiwa virago CCM.

    nachoshangaa ni kwa nn bado CCM bado wanamkumbatia pamoja na ubadhilifu wake wa kutisha? Kwann wanashindwa kufanya maamuzi ya Chadema ya kumtimua na kuwaacha wasafi? There must be something they can do to stop him, the devil is selling our country openly
Back
Top Bottom