Habari za wakati huu, ndugu zangu wanajukwaa.
Ninaleta hapa kilio cha wananchi wa Mtaa wa Kisasa, jijini Dodoma, ambao tumekuwa tukikabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani miezi mitatu mfululizo.
Hali imekuwa ngumu sana kwa wakazi wa eneo hili. Awali, tulikuwa tunapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.