Mkuu,
Usishangae, kosa lako ni kulinganisha uchaguzi huu, amabao ni wa kwanza wa aina hii kwa KE, na chaguzi zingine ambazo hazijabadilika kwa muda fulani.
Ukitaka kulinganisha fairly, basi chukua uchaguzi kutoka marekani au Ghana ama wengine amabao ulikuw baada ya kubadilisha sera au...