Recent content by Nampendamilele

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Sanaa mara ya kwanza nilihisi labda panya kafa nikaanza kukagua kumbe ni yeye
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Nataka kumwambia Ngoja niendelee kufiliria na kupata mawazo humu namna ya kumwambia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    😂😂😂😂 duuuh mkavu sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Ni uongo tena kama wakigombana na kutukanana ndio wanaambiana madhaifu ya kula mmoja
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    😂😂katili
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Ndio nimesema naomba nipate mbinu ya kumuambia muda wote huo natamani kumwambia ila sina uhakika kwa namna nitakavyowasilisha haitomfanya akijisikia vibaya
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    😂😂😂 aaah uongo yaani mtu anuke usisikie kisa upendo mbona havihusini
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Kumuacha hapana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Na kuongea sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Weee na muhusika asikie mmh si atajisikia nimemdhalilisha
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    We hujakutana na mtu ananuka mdomo unatamani kulia halafu awe muongeaji 😭😭
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Angalau ya pili labda na nikifika nikamwambie daktari kwa siri ampime yeye maana duuh nachoka mimi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Kumchamba mtu kwa id fake na yeye hayuko huku hii imekaaje
Back
Top Bottom