Recent content by Nammawelu

  1. N

    Nauza nafaka kwa bei nafuu

    Kwa sasa ni ngumu kupata zaid ya Tani hizo 18 kulingana na wakati na upatikanaji wake kwa sasa Kwa huku Masasi Njugu zipo nyigi na zipo katika makundi tofauti tofauti miongoni mwazo ni kama zifuatazo : AINA ZA NJUGU (TYPES OF NUTS) Njugu mawe --- Bambara nuts Aramoni --- chestnuts Hazeli...
  2. N

    Nauza nafaka kwa bei nafuu

    Habarini wapendwa naitwa fadhila Dadi napatikana Masasi mjini nina Tani 18 za njugu mawe natafuta mteja wa Nafaka hizo bei ni maelewano lakini bei elekezi ni 2000Tsh Kwa muhihitaji anione kupitia. Email:ghurabaaistiqama1@gmail.com au phone no :0788283066 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Wauza nafaka tukutane hapa

    Nipo MASASI mjini kilo moja shilling 2000 zipo kama tani 18 za njugu mawe kwa muhitaji basi tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Wauza nafaka tukutane hapa

    Nipo MASASI MJINI bey ni sh 2000 kilo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Wauza nafaka tukutane hapa

    Mm Nina njugu mawe kama tani 10 na karanga tani 2 natafuta mnunuzi wa Nafaka hizo
Back
Top Bottom