Wapendwa mabib na mabwana
Mim ni mgeni humu na nichukue nafasi hii kuleta haja yangu mbele zenu wana jukwaa.
Nafta bint atakae kuwa mke:
Mitaan warembo ni wengi sana tena wakali tatizo hawatabiriki na wengine hawajielewi sasa basi nimechoka kuchakua kama kuku. Hivo basi nahitaji mdada mrembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.