Recent content by Naipau

  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Umeona Chadema ni mpango wa mungu......
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaigaragaza CCM kwenye kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Hongera James Millya, Hongera Frank Oleleshwa, ukombozi simanjiro ni Mimi na we we.
  3. N

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapanua wigo wa vijana kimataifa

    Wasonge woteeee
  4. N

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wapanua wigo wa vijana kimataifa

    Niliwahi kusema Bavicha ya kipindi hichi ina vijana Makini sana ukilinganisha na ile ya Heche ambaye aliyekuwa amebeba Bavicha alikuwa Heche peke yake, Bavicha ya kipindi hichi yenye vijana Machachari kama hawa wamasai Oleleshwa na Olesosopi bila kumsahau kijana Marto wa Iringa mjini itatuvusha...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Vijana wa Lumumba punguzeni Shobo....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Wana Ukumbi Habari za Leo, Nimepata simu kkutokakwa mmbunge wa Mbozi Magharibi mh David Silinde Akisema nanukuu. ... .Taarifa zilizopo ktk jamii forum juu yangu ni Uzushi mtupu na ujinga uliokusudiwa kutaka kuvuruga chama chetu...kipindi hiki vijana wa CHADEMA tuwe makini sana ktk kujibu...
Back
Top Bottom