na liwe fundisho itakuwa vizur akishndwa kesi ajiuzuru na kufuta kauli yake kwa mda mmoja na pia apelekwe keko angalau siku mbili hivi ajifunze adabu na kuheshimu watu tuliomchagua yaan katufanya sisi wanae nyumban tutiwe viboko na kupigwa si tutakuwa vilema...
Kuwa na serikali moja ni vizuri zaidi na jambo jema kuliko serikali mbili au tatu ikiwezekana nchi igawanywe kimajimbo na zanzibar iwe kama jimbo ikiwezekana na wawe na sheria zao za kijimbo na wafanye shughuli zao kijimbo ila mwisho wa siku wote tuwe na katiba moja ya nchi ya watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.