Recent content by Nadhiru

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wedding invitation cards /kadi bora za mwaliko wa harusi

    nahitaji kadi za jumla za mialiko zilizo bora, wapi nitazipata?
  2. N

    JamiiForums Tanzania maombi ya mkopo HESLB kwa waliomaliza kidato cha nne 2013 kwa ajili ya diploma educ. science ikoje?

    wanajamii naomba maelekezo jinsi ya kuomba HESLB kwa sifa ya form four 2013 diploma in education science (half comb) kama una uelewa maana nimejaribu imegoma kabisa. napewa sms hii ''The Index Number you provided is not VALID or You did not complete Form Four after 1987''
  3. N

    JamiiForums Tanzania singida manispaa kwenda morogoro manispaa

    Mie ni mwalimu wa sekondari masomo Bios & chem (A&O) nahitaji mtu wa kuja sgda municipal nami niende moro manicipal mawasiliano 0767722929, 0783722929 ahsante.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wale walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wele walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
Back
Top Bottom