Recent content by Nabwada

  1. N

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hiyo ndiyo demokrasia tuitakayo
  2. N

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Sidhani kama kuna M bunge yeyote kutoka Kusini ataunga Mkono hoja yoyote Bungeni isilo na manufaa kwa wanakusini (kama kawaida ya Wabunge wetu)na akawa salama Jimboni kwake kwa mwendo huu.
  3. N

    Lema, Mnyika kuelekea Mtwara - kupiga M4C kwa siku TANO

    Hii taarifa kama ni ya ukweli ,natoa angalizo. Mh Mnyika na Lema mkija Mtwara tafadharini musimtaje jina mtu wala Chama chochote cha Siasa ,nyie zungumzieni faida ya Gas kwa manufaa ya Wanamtwara na Taifa kwa ujumla ikibaki Mtwara ukitumia ile kaulimbiu Gas kwanza Vyama baadae,Mtwara...
  4. N

    Mbunge wa Kilwa Kaskazini Awaumbua Wanaoshabikia Maandamano ya Gesi Asilia

    Sasa nimeanza kugundua kwanini Serikali inataka Gas iende Dar,Maana tangu siku ya kwanza tumeandamana ,MATAMKO yoke yanatolewa kutoka Dar, kuhusu sisi Waandamanaji,cha ajabu zaidi mengine yanatolewa na watu wa huku huku Kusini kama wewe Mheshimiwa M bunge ,hivi unashindwa kweli kwenda jimboni...
  5. N

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Ukiunganisha dot vizuri za haya Mabango utaona ni jinsi gani Bagamoyo inavyoididimiza Mtwara .
  6. N

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    MAFILILI ,Acha kutuona sisi Maboya narudia tena ,wewe unataja tu majina ya watu na vyeo vyao,mbona hao unaowataja hatuwaoni wakizungumza lolote kuhusu hii Saga?,Huyo M bunge Murji amefuatwa Ofisini kwake awaoneshe wana Mtwara Mkataba wa kusafirisha Gas anasema hata yeye hana (ukumbuke huyu ndiye...
  7. N

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    MAFILILI,Tafadhari usituone sisi watu wa Mtwara kama hatuna ufahamu ,Hao Wabunge unaowasema wakatusemee hili si ndiwo wale ambao walizomewa mbele ya Kinana kwenye Mkutano wa Kuitambulisha ile TIMU MPYA YA CCM pale Soko Kubwa kwani wewe haukuwepo siku ile?,tafadhari tuheshimiane kaka.
  8. N

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Jamani tuwekane sawa,Hakuna mwana Mtwara yeyote asiyetaka Gas kuondoka ,tatizo ni namna ya kuondoka .Kwa nini iondoke kwa njia ya Pipe na production ikafanyike Kinyelezi-Dar badala ya Mtwara?,Kila mtu anafahamu kule inakofanyika final production ndiko kutakako pata mafanikio.Tunataka production...
  9. N

    Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

    Sijafanya utafiti ,lakini sikubariani na wewe kusema ZITTO anapendwa sana Mtwara,(Najua unataka kuleta mambo yako ya udini) Katika eneo ninaloishi mimi NABWADA kwa kiasi cha Vijana wengi ninaowajua wanafurahishwa sana na wanaonekana kuwakubari zaidi Mnyika na Lissu . Jana kulikuwa na...
  10. N

    Mnyika amkaba koo Mwakamele Ufisadi TANESCO

    Hongera yenu watu wa Ubungo kwa kupata M bunge makini ,siyo sisi Mtwara Mjini mmmmm Murji .
  11. N

    Mtwara kupandisha bendera yetu

    CHADEMA wanasema tuu kwa maneno ,Serikali za Majimbo ,sasa Mtwara wanaonesha kwa Vitendo .Bendera hiyoooooo inakuja.
  12. N

    Mtwara kupandisha bendera yetu

    Hatukatai (MAFILILI) Hii ni mali ya Tanzania,Wana Mtwara tunataka kuuona Mkataba wa Gas kati ya Nchi na huyo Mwekezaji unasemaje?,tumesikia kuna watu wamewekewa Pesa Uswis na Makampuni ya Gas na Mafuta (haya yote yako Mtwara) Hatujaiona sababu ya Msingi ya Kujengwa Pipe la Gas tu Dar na kinu...
  13. N

    Jinsi CCM inavyoingamiza Mtwara

    Sisi huku Mitaa ya Railway tumeshamuelekeza Murji kuwa hatumtaki na analifahamu,hajawahi kufika huku na wala hakuja kuitisha mtutano wa kutoa asante. Huku ni CHADEMA mpaka mtoto mdogo atakuambia hivyo ,Diwani wetu wa Kata ya Railway tunamuandaa.
  14. N

    Kwa hili la Mtwara, CCM imenifariji...!

    Huyu mleta mada anataka kunitafutia ban mie niwe Guest tu hapa jamvini ,ngoja niendelee na shughuri zangu mie .
Back
Top Bottom