Habari wana Jukwaa la Elimu.
Naomba mwenye Hard Disk ( CD Au DVD) Za masuala ya Elimu, Hasa zenye Novels na Plays za Kidato cha 4, Kama vile THE BLACK HERMIT, THIS TIME TOMORROW, THREE SUITORS ONE HUSBAND..Etc. Nataka kununua kwa ajiri ya Project Zangu binafsi. Mwenye nazo Tuwasiliane au hata...