Recent content by mzungu ngaravit

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    duuu ila kweli vijana wamepanik hawalali wala kufanya kazi kila wakati tcu kwa hali hii vijana wengi watenda mirembe jaman tcu wakoen vijana hawa tangazen bas post mtu ajue kaula au anaenda shamba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    du wanajamii forum tafsir ya rangi hzo ni kweli au?mana mi kwenye profile yangu vyuo vyote wameniwekea nyeusi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    sisi walimu tabora wilaya ya sikonge idara sec na msingi tunatafuta walimu kudilishana tuende moja mikoa hii arusha,kilimanjaro,tanga na manyara contuct0784289435
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

    nisaidieni jaman nimechaguliwa wapi niliomba stashahada ya ualimu jina MZUNGU MEIVUKIE P4348.0541 kombi ya arts
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

    jaman kombi za arts hasijachaguliwa?mana niliomba ila naona ya sayansi na lugha nisaidieni jaman nijue nimepangiwa wapi na kombi gan namba yangu ni P4348.0541,MZUNGU MEIVUKIE nategemea majibu toka kwenu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    ndugu zangu nisaidien kunichekia jina hl MZUNGU MEIVUKIE NO S0977.0043.2007 nijue nimepangiwa wapi?mana niliomba diploma ya ualimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

    za leo ndugu zangu naomben mnisaidie niliomba kujiunga na diploma ya ualimu sasa link zao zimenichanganya nisaidien kutafuta jina MZUNGU MEIVUKIE no S0977.0043.2007
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hutakiwi kufanya editing kwenye akaunti yako TCU

    dah jaman hata post za ualimu bado tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    hai guys!vp jaman bado majina ya wanaojiunga na mafunzo ya ualimu?du wizara yetu noma mpaka sasa hajuna tamko lolote?kama kuna mapya pls niambien.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    jaman ndugu zangu mlio kwenye net nisaidien jina hili mzungu meivukie s0977.0043.2007 kama lipo ktk list ya waliokosea kujaza fomu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    jamani mbona tovuti y hslb haifunguki
Back
Top Bottom