Recent content by mzinga23

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya WAISLAM TU.. asiye muumini Wa dini ya kislam mahakama ya kadhi haimuhusu.. suala la kodi ..wote tunalipa kodi ni haki yetu kupewa huduma tunayohitaji na kugharamikiwa na kodi tulipazo kwa ajili ya kutatua matatizo yanapojitokeza iwe ni masuala ya Talaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    BAKWATA ni taasisi iliyoundwa kwa malengo maalum ...moja ya malengo hayo ni. Kuudhibiti na kukwamisha maendeleo ya waislam... tunawajua sana wanayezuia mahakama ya kadhi isipitishwe ...upande mmoja ni bakwata kwa vile wana tuhuma ya kujinufaisha na Mali zilizotolewa wakfu .kama vile nyumba'...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    wacha utoto wewe pesa zinAzolipwa kama kodi huwa zinatiwa alama kuwa hii ni ya pombe na hii ni ya nguruwe..au zinakusanywa kwa kuwekwa alama...?
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Kila nafsi itaonja mauti
Back
Top Bottom