Recent content by mzenji

  1. M

    JamiiForums Nssf westadi, swift freight na ubabaishaji nje ya nchi!

    Nimekusoma Kiongozi, bahati mbaya kipindi hicho mimi bado nilikuwa sijatinga Uingerezani kipindi cha balozi Kibelloh, lakini nakubaliana na wewe mpangilio ni kitu muhimu sana katika shughuli na ndio maana nadhani ni muhimu hizi shughuli zinatakiwa ziongozwe na umoja wa Watanzania pamoja na...
  2. M

    JamiiForums Nssf westadi, swift freight na ubabaishaji nje ya nchi!

    Sawa kabisa Richard hilo unalozungumzia ni la kabla ya shughuli ya Westadi kuahirishwa , lakini baada ya kuahirishwa hilo tangazo hapo juu ndio lililowekwa. ukifuata string yetu hapo juu nadhani tupo pamoja kiongozi hamna uchakachuaji hayo mabadiliko yalifanywa baada ya WESTADI kuamua kuahirisha...
  3. M

    JamiiForums Nssf westadi, swift freight na ubabaishaji nje ya nchi!

    Kiongozi Richard, nadhani hoja zako za msingi ni mbili ubabaishaji watu kutumia jina na NSSF kwa faida zao lakini hapo juu nimesema kuwa tulitaarifiwa kuwa shughuli hiyo imeahirishwa na wengi wale ambao walikuwa wamejiandikisha kuhushuria walifahamisha kubadilika kwa sherehe toka uzinduzi wa...
  4. M

    JamiiForums Nssf westadi, swift freight na ubabaishaji nje ya nchi!

    Ndugu zangu watanzania wakati umefika kuanza kuthamini vitu vizuri vinavyofanyika katika jamii yetu ughaibuni. Huyu bwana Faraji amekuwa akiandaa hizi shughuli kwa muda mrefu hapa Uingereza anachokipata kwa kuandaa hizi shughuli anakijua yeye. Safari hii kwa upande wa burudani vyote...
Back
Top Bottom