Recent content by Mzeituni

  1. M

    Wamachame na wakibosho

    Wapo pia Ngowi, Salema, Ushaki, Lyakurwa, Mlay, Lamwai, Mremi, Mrina, Ulomi, Ngooh, Ushaki, Urio, Kombe. Kumbuka majina haya ni kwa WANAUME ikiwa ni MWANAMKE unaongeza Ma mwanzoni mwa jina mfano: Shirima=Mashirima, Swai=Maswai, Ngowi=Mangowi, Tairo=Matairo, Massawe=Mamassawe, Ngooh=Mangooh...
Back
Top Bottom