Recent content by mzeewaSHY

  1. mzeewaSHY

    Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    Duh ! Hiyo circle nyekundu iliyochorwa kwenye gazeti kwamba TZ watu ni wajinga kuliko Afrika yote imenisikitisha sana 🙄😱😅
  2. mzeewaSHY

    Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

    Inawezekana !👏👍 lakini bado hizi zitakuwa ni tetesi tu !
  3. mzeewaSHY

    Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

    Kwahiyo na wewe miaka yote uliyokuwa unatuwakilisha huko Bungeni ulikuwa unatutapeli tu ili tukuchague ilihali unajua kuwa kumbe Chadema ni kama kampuni tu ya mtu binafsi na familia yake ???! Mimi nadhani hii maneno yote mbofu mbofu kutoka Chadema ni kwa sababu ya ile rumor kwamba kuna mtu...
  4. mzeewaSHY

    Upendo wa Watanzania kwa Rais Samia ni uzalendo wa kurithishwa kwa vizazi

    Ugenini wapi tena ??! Simnasemaga Zanzibar sio Nchi ??! 😂😂😂 Hii ni Nchi moja nzuri na pendwa iitwayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿 🙌👍👏
  5. mzeewaSHY

    Sina kumbukumbu kama kuna siku Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka neno Ufisadi!

    2040??! Kama alivyofanyaga Che Nkapa baada ya kumaliza ngwe zake mbili ! Akasema anajuta katika baadhi ya Ubinafsishaji alioufanya ! Lakini sikumbuki kama aligusia kujuta kwenye mikataba ya Madini ya Dhahabu !🙄🙈🙄!
  6. mzeewaSHY

    January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

    Uwizi kama ni kweli na upigaji madili kama ni kweli mutu wa hivyo kama ni kweli hafai hata kuwa katibu kata 😳 Kama ni kweli lakini 🙄🙌 Ifike mahali tuseme sasa basi kwa wapiga dili ! Enough is enough !!
  7. mzeewaSHY

    CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

    Iko vile ! Tunalipa fadhila Mkuu 😳🙄 !
  8. mzeewaSHY

    CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

    Think tanks wanaotakiwa pale sifa ya kwanza na muhimu kabisa ni lazima awe Chawa kwanza !😳🙌
  9. mzeewaSHY

    CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

    Umemaliza kila kitu ila ndo hivyo tena ! Wanasemaga business as Usual ! Na wengine wataongezea kwamba unawaonea wivu ! 🙄 Wale wenye mawazo mazuri na productive kwenye system huwa wanaonekana ni wasaliti ! Watawindwa mpaka wanyoroshwe !🙄
  10. mzeewaSHY

    PreGE2025 Adhabu waliyopewa Nape Nnauye na January Makamba ni ndogo mno!

    Hao uliowataja hata kuzungumza Bungeni tu wanaogopa ! Wataanzia wapi kumpinga Mwenyekiti ambaye ndio Mkuu wa Nchi na ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu ??! Naona kwa uwanja wa Makapa itabidi uende ukatimize ahadi yako muda ukifika , no way ! Watu wanaogopa hata vivuli vyao ndio wamtingishe...
  11. mzeewaSHY

    Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Balaa la kusema ukweli au kubahatisha ??!
Back
Top Bottom