Recent content by mzeekazi_

  1. M

    Askofu Gwajima kada wa chama aliyeamua kujihatarisha kuokoa nchi yake

    GWAJIMA KADA WA CHAMA ALIYEAMUA KUJIHATARISHA KUOKOA NCHI YAKE Askofu Gwajima siku ya jana alitoa ushauri kwa mamlaka za kiserikali kutokana na sakata la utekaji lililozidi sana nchini kwa sasa. Katika hotuba yake ya lisaa limoja, Askofu Gwajima amenukuliwa akisema utekaji sio utamaduni wetu...
  2. M

    Ni nani huyu ambaye kila Mtanzania anasubiri aongee...

    Nchi ya Tanzania inapitia kipindi kigumu sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Kelele, vilio, malalamiko na majonzi yametanda kila sehemu na wengi wakiwa na wasiwasi kama watakuwa salama siku zinavyoendelea kusonga. Tumefikia kipindi ambacho mtu akiondoka nyumbani kwenda kwenye...
  3. M

    PreGE2025 Mwenza wa kijani ana jambo lake baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Tunaelekea uchaguzi mkuu na joto limeishapanda sana kwa sasa. Mtihani ni mkubwa, maswali ni mengi yanataka maelezo marefu huku karatasi ya kujibia kikiwa kipande tu. Huku kuna Azimio la mgombea bila form na huku kuna No Reforms No Election. Huku wengine wakisema wao ni G55 na wengine wakiwakemea...
Back
Top Bottom