Recent content by mzee wa vyuku

  1. mzee wa vyuku

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naomba kuuliza kama mtu anavigezo vya kuomba ajira za polisi kwa cheti cha form six na chuo alfu akaomba kote makao na mkoani inakuwaje???
  2. mzee wa vyuku

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ndio, Wale waliofanya usaili mwezi uliopita Makao Makuu ya Magereza
  3. mzee wa vyuku

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu, Magereza vp mboni kimya snaa??
  4. mzee wa vyuku

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tatizo kitaa michongo hakuna!! Huko ndo kimbilio pekee kwa watoto wa Maskini
  5. mzee wa vyuku

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Huwa nikupigiwa Simu au watatoa PDF??
Back
Top Bottom