atakumbukwa kwa kuwa mbunge kwa muda mrefu.na kwa kuwa spika.make hiyo nayo ni kumbukumbu.kumbukumbu sio lazima ufanye mazuri tuu.unaweza ukakumbukwa hata kwa negative things! kwani serikali ya ccm itakumbukwa kwa lipi? ukipata jibu nadhani utakuwa umepata na jibu la swali husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.