Recent content by Mzee wa Nyayo

  1. Mzee wa Nyayo

    Biashara ya Bia mpya

    Nimeshuka moyo kabisa kwani wengi wamenisema vibaya juu ya jina la bia. Basi nimebadilisha tangazo. Wiki ijayo nitaenda benki tena kuomba mkopo.
  2. Mzee wa Nyayo

    Biashara ya Bia mpya

    Anayo nguvu. Watu wanamfuga hapo. Mwaka jana mmoja aligonga fensi naye akaendelea hivyo hadi ikabomoka naye akatoroka shambani huku akiwashambulia wakulima. Basi kwa hayo yaliyotokea naona ana nguvu.
  3. Mzee wa Nyayo

    Biashara ya Bia mpya

    Nimeisha fikiria majina mengi lakini yale kwenye orodha yako tayari yamechukuliwa. Hata simba na chui haiwezekani kwani zipo tayari. Labda fisi ila mimi mwenyewe simpendi. Vipi nikiweka Kitimoto Extra Lager?
  4. Mzee wa Nyayo

    Biashara ya Bia mpya

    Asante sana, lakini nakaa mbali na rombo basi vipi gharama ya usafirishaji? Tena niliomba dokezo jinsi ya kupata mkopo wa kuanzisha kampuni ndogo. Wateja tayari wapo.
  5. Mzee wa Nyayo

    Biashara ya Bia mpya

    Nataka kuanzisha biashara ya kupika bia. Kwa miaka 2 hivi nimepika na kuwauzia rafiki na majirani huku nyumbani, nao wanasema bia ninayofanya ni nzuri na yenye ladha bora. Nimetayarisha matangazo ya hiyo bia mpya ambayo mnaweza kuona (nimeambatisha kama attachementi). Lakini sasa nimepata...
Back
Top Bottom