Mkuu kwani ni vibaya kuomba kwaajili ya KUELEKEZWA mkuu maana maeneo yaliyotajwa yote mimi ni mgeni nayo au la kama unayafaham hayo maeneo unaweza nisaidia.
Siyo kila mtu anaomba mawasiliano kwa vitu unavovifikria wewe vya negative tu sipo jf kwaajili ya kutaka mawasiliano ya watu lkn ni kwa...
Habari!
Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier Kwa wakala wa Mabasi yaendayo kasi DAR (DART)
Nipo DAR ES SALAAM naomba mnisaidie kupata kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.