Elewa tu kwamba aliomba kusoma degree wakamkubalia na hela akalipa 60% ya ada ya mwaka na test one na two wameshafanya then ndo wanasema hawakwalifai degree...
Ndio, aliomba kusoma degree wakamkubalia akaanza chuo mwaka jana October Ada imelipwa 60% sasa wanasema hawakwalifai digree issue ni kwanini waliwapokea na wameshafanya test one &2.....!
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.