VITA YA UCHUMI BAINA YA TANZANIA NA CANADA IMEKOLEA, UKITAKA KUSHINDA VITA PIGANA VITA!!
Mtu mmoja mwenye akili aliwahi kusema kuwa, "Ukitaka kushinda Vita, shika Bunduki pigana Vita". Kwamba huwezi kuishinda Vita ukiwa kitandani umelala fofofo!! Huwezi, huwezi kamwe!!
Vita ya Kiuchumi baina...
Mkuu..!
Kosa kubwa tunalofanya ni mihemko yetu ya kisiasa na kuiweka Tanzania yetu pembeni.,
Na cha kushangaza zaidi uzi umeeleweka lakini zipo mada zinaongezwa kujaribu kubadilisha lengo la uzi mzima mfano kwa uliesoma kwa makini hakuna hata kifungu kinasema serikari haina kosa.. Chakushangaza...
Tarehe 24.3.2017 katika hotel ya Golden Tulip alikutana Na wakandarasi waliokuwa wakifanya kazi katika kampuni iliyosimamishwa kwa kukosa weledi katika kazi,
Miongoni mwa wahandisi aliokutana nao ni wafuatao
1. Allan Watt
2. Andries Liebenberg
3.Mark Roper
4. Rab Bell,
Wakati lissu akiwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.