Recent content by mzalendoMtz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na eBay

    hahahah asante sana mkuu.. seller ananiambia nikacheki kwenye local post mzigo huenda ushafika.. kuhusu kupost aliweka worldwide.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na eBay

    Wakuu nilinunua bidhaa from China via eBay lakini loooh Leo ni siku ya 20 bado havijafika na zingine kila nikijaribu kutrack naishia kuona pameandikwa " operation complete" na nyingine naambiwa " item(traking number) left Singapore to Tz, siku ya 4 leo. Hhii kitu ni kweli au niliingia mkenge ...
Back
Top Bottom