Recent content by myself4myself

  1. myself4myself

    DOKEZO Eliah Mwakalonge (Mkufunzi NMNA) pasua kichwa kwa Wanafunzi

    Hahahaha, mbona miimi nikiangalia email ni ya Mwalimu, au mimi naona tofaut? Naona kwenye attachment jamaa kafuta namba, jina na email yake, kaacha jina la Mwalimu na email ya mwalinu
  2. myself4myself

    DOKEZO Eliah Mwakalonge (Mkufunzi NMNA) pasua kichwa kwa Wanafunzi

    Wapo wa walimu wa namna hiyo kweli, lakin kama anafanya haya atakuwa hawatenndei haki. Wanafunzi katika chuo chochote ni wateja, sion sababu ya kuwaburuza
  3. myself4myself

    DOKEZO Eliah Mwakalonge (Mkufunzi NMNA) pasua kichwa kwa Wanafunzi

    Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge anatufundisha somo la TEHAMA(information and communication Technology). Katika muhula huu wa...
Back
Top Bottom