Recent content by Myloo

  1. Myloo

    Punda wanateswa, wanaharakati za wanyama mko wapi?

    Jama kwani hapa Tanzania hakuna wanaharakati wanaojihusisha na haki za wanyama? Maana hapa Katoro Geita Punda wanateswa sana yani wanabeba tofali asubuh hadi saa 9pm. Njia zenyewe makorongo tupu yani punda unawahurumia, nakumbuka kipindi cha JPM walikuwa wanafanyishwa kazi kuanzia asubuhi...
Back
Top Bottom