Recent content by Myla sadick

  1. Myla sadick

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    No kasha report so nataka kumuhamisha
  2. Myla sadick

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Yeye alichagua day akidhani atapata chuo kumbe ikawa ndivyo sivyo kwaio iikabidi tumtaftie hostel lkn mazingira si mazuri
  3. Myla sadick

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
Back
Top Bottom