Recent content by Myanguneni

  1. M

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Master naomba no pm kwenye 0767670406 mkuu
  2. M

    Wanunuzi wa magari tusikose hii neema

    Master naomba contact zako please
  3. M

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Master habari mkuu,naomba no cheki kwa 0784670406 au 0767670406 kuna ishu mkuu
  4. M

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta Toyota Hiluz old model 2.8 double cabin no B au C in box 0784670406
  5. M

    Hashimu Rungwe: Watu wasiojulikana waliokuwa wamemteka binti yangu wamemwachia tarehe 28/03/18

    Subiri ikutokee wewe ndio utajua kama hayo mambo yapo au hayapo
  6. M

    Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Nadhani ni vizuri watanzania tukajifunza kujibu hoja kwa hoja, wakati tunataarifiwa juu ya kuachiwa kwa ndege yetu of which ni jambo la furaha kwetu sote, swali la kujiuliza mbona hatukuwa tumepewa taarifa juu ya kukamatwa /kuzuiwa kwake kabla na wasemaji hawa hawa wanaotoa habari za kuachiwa...
  7. M

    Huu ndio ukweli juu ya kuchafuliwa kwa Rais Magufuli na hili gazeti

    Sifongo umesema kweli kabisa, Rais asitarajie umoja wa kitaifa kwa kuwatenga wale wote wasiokuwa upande wake, na wala haitokaa itokee kwamba watu wote watakuwa na msimamo mmoja na kwa maana hiyo wote watakuwa chama tawala, lazima angalie ni kwa namna gani anaweza kupata saport ya wale wasiokuwa...
  8. M

    Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Tunaweza kujipa matumaini kwamba hawa jamaa wachochezi, wanamchukia Rais wetu kwa jinsi anavyopambana na ufisadi, Rushwa na maovu mengine, lakini kuna umuhimu sana wa kuyafanyia kazi haya.Tanzania sio kisiwa kiasi kwamba tunaweza tukasavive wenyewe, ni lazima ulimwengu uwe pamoja na Unadhani...
  9. M

    Hoja za Abdul Nondo tuzipeleke Mahakamani sasa

    Kwako wewe kwa waziri na mkuu wa mkoa kuanza kutoa shutuma kwa kijana juu ya dhana ya kujiteka kabla ya taarifa ya uchunguzi unaona ni professional attitudes? Taarifa ya RPC wa Iringa na Kamanda wa Dar es salaam juu ya mhusika mmoja kutofautiana unaona ni sahihi ? kwako wewe report ipi ni sahihi...
  10. M

    Asasi za kiraia wafungua kesi Mahakama Kuu kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

    Hapana nazungumzia Mahakama zetu hizi especially hizi za juu angalau zina elements flani za kujitambua
  11. M

    Asasi za kiraia wafungua kesi Mahakama Kuu kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

    Hii ni njia nzuri ya kudai haki pasina kuleta vurugu, mahakama ni chombo huru kwa hiyo kitatoa mwongozo katika jambo linalobishaniwa. All the best Tanzania ndio mshindi katika huu uamuzi.
  12. M

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Mk Mkuu hii Suzuki Grand Vitara bado ipo ?na Ina KM ngapi
  13. M

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Hii Hii benzi ilishapata mteja matsre?
  14. M

    Hatimaye Ndugu wa Aqulina Akwilini wakubali kuchukua mwili wa marehemu

    Kuna kitu kinaitwa kanuni za maumbile hapa Duniani,mwenyezi Mungu anatutaka sisi binadamu tuzitumie ili kutoyaweka maisha kwenye rehani, ndio maana ukitaka kujenga nyumba imara lazima utumie vipimo sahihi kama hautofata ushauri huo wa kitalaam ukapata madhara unawezaje sema MUNGU AMEAMUA? lakini...
Back
Top Bottom