Recent content by MXMXMXMX

  1. M

    DOKEZO RITA changamoto ni nini? Angalieni jinsi ya kuboresha tovuti yenu kutujali sisi wateja wenu!

    Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu. Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
  2. M

    Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

    Yan umeielezea perfect, one thing niliandika katika diary yangu siku moja ni ""MY BRAIN IS MY BEST FRIEND"" nikimaanisha most of my time naspend nikiwa mwenyewe nafikiria mwenyewe in my brain, nafanya imagination nyingi, nafanya conversations nyng mwnyw (hapo unakuta nacheka au nahuzunika na...
Back
Top Bottom