Recent content by mxc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi HP 2540p keyboard?

    Unauza kwa Tshngap tu? Usafiri ntaingia mimi mwenyewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi HP 2540p keyboard?

    Kwa anayeuza HP keyboard ndogo hv naomba anitafute kokote alipo. Namba ni 0674028267. Model ni 2540p
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je unauza line ya tiGo,M-pesa au Airtel Money?

    Kwa anayeuza line ya tigo pesa au mpesa au airtel money au zote kwa pamoja. Natafuta hizo lines kwa bei nafuu. Ntafute kwa namba 0674028267
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Habari wana JF Nasumbuliwa na tatizo la mgongo kuuma (uti wa mongo) mno sehemu ya kati kati nq kifua pia maeneo ya katikati hasa nyakati za usiku. Limeanza ni siku ya nne leo. Na kazi yangu n mwanafunzi. Nimepima malaria,minyoo,uti vyote hamna. Lakini pia umbo hujaa gesi na kuunguluma kila...
Back
Top Bottom