Recent content by Mwl.mpya

  1. M

    JamiiForums Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    naona la kukupendelea kukuvusha limekuuma sana. Haya twambie ulvoishia la saba. Biashara inajua kuwabeba, had mnawadharau watu na kaz zao. We fanya kujenga taifa, ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Usijifanye una uchungu kuliko wafiwa. Mara uwatetee mara uwadharau! Which z which? An educated man should...
  2. M

    JamiiForums Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    kwa kujitetea huku, am more than sure umejiajir. Na elimu yako kama umesoma saaana bas form four. Nan kakwambia wastaafu wanalipwa na serkal stahk zao??? Inadepend na mfuko huska alo chagua mwajiriwa. Nimetaja makusud mshahara wangu since topic umeandka juu ya kupanda kwa mshahara, otherwse tym...
  3. M

    JamiiForums Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

    nalipwa 589000 we unalipwa ngapi? Maana naona mmegangania walimu na huku mishahara ya utumish wa umma ni sawa. Ukitoa manes na madaktar ambao kiukwel kaz yao ngumu i.e cm iwe hewan 24 hrz maana emergency n mda wowote hata midnight, vidonda, maiti, harufu ya wod, majeraha ya ajal, operations.etc...
  4. M

    JamiiForums Shemeji aliwahaidi nini walimu, kwa bajeti inayojadiliwa.

    Kumbeee, na iwe ivo. Wacha nianze kulitazama bunge kwa matumaini makubwa.
  5. M

    JamiiForums Shemeji aliwahaidi nini walimu, kwa bajeti inayojadiliwa.

    Wakuu nifumbueni macho naskia kuna ahadi ya kuleta faraja kwa watumishi wa umma, kuelekea bajeti ya 2014/2015.
  6. M

    JamiiForums Walimu wapya walamba nusu ya pesa ya kujikimu-(NJOMBE).KWANINI?

    Kwa Tanzania nzima pesa imetumwa nusu, mimi nilokopangiwa tumepewa siku 7 (315,000). Dhou, kwa maelezo ya afisa utumishi halmashaur ya wilaya ndo imejiongeza hili tupate. So serkal iklipa watajrefund. Ni ukarimu tuu wa wilaya hili kuondoa usumbufu wa maden ya mtu mmoja mmoja. Instead, watadai...
  7. M

    JamiiForums Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    asante mkuu Mungu akubariki.
  8. M

    JamiiForums Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Msaada tafadhali, wilaya ya MULEBA Kagera. kuhusu huduma ya maji, umeme na upatikanaji wa vyumba. Kadhalika shule zilizo katika mazingira mazuri. Nitashukuru kwa mchango wako.
Back
Top Bottom