Recent content by mwinuka37

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bishara ya madini tanzania

    Nimekuwa nafuatilia biashara nyingi zina kopesheka kwenye tasisi za fedha ila sijawahi sikia wachimbaji wadogo wadogo au wafanya bishara wa madin wandani au exporter kama wana fursa za kukopa kama biashara nyingine ,mwenye taarifa juu ya kund hili muhimu kwenye fursa za mikopo atu saidie hapa
Back
Top Bottom